Watu zaidi ya 100 mkoani Morogoro wanahofiwa kufariki dunia kwa moto baada ya tanki la mafuta kulipuka na kuwaka moto. Kwa habari zaidi endelea kufuatilia #MtanzaniaDigital pic.twitter.com/JhawWZKH12
— Mtanzania Digital (@MtanzaniaNews) 10 août 2019
المصدر : مدي1تيفي.كوم و (و.م.ع)